Angalia muhtasari huu kabla ya kuwasilisha taarifa zako.
TAHADHARI: Ukishatuma fomu, hutaweza tena kuona au kubadilisha taarifa zako mwenyewe. Utatakiwa kuomba ruhusa kwa Mkuu wa Shule ili akufungulie tena.
Hali ya fomu yangu
Tafuta mtumishi
TAARIFA ZANGU
REKEBISHA TAARIFA ZANGU
DASHIBODI YA TAARIFA ZANGU
TAARIFA ZANGU
BADILI NENO LA SIRI
TAARIFA NA NYARAKA
PAKIA NYARAKA KWA WATUMISHI
Nyaraka zitaonekana baada ya kuingia.
Uthibitisho wa Mkuu wa Shule
Hatua ya kwanza: ingia kwa barua pepe rasmi ya Mkuu wa Shule na nenosiri la akaunti ya mtandaoni.
Hatua ya pili: akaunti imethibitishwa. Ingiza security code ya Mkuu wa Shule ili kufungua dashibodi.
Tumia security code ya Mkuu wa Shule iliyowekwa kwenye mfumo.
FUTA / REJESHA WATUMISHI
Bonyeza WATUMISHI WALIOPO au DASTBINI kupakia orodha.
SAIDIA MTUMISHI ALIYESAHAU NENO LA SIRI
Waliochaguliwa: 0
Barua pepe ya Mkuu wa Shule
🔐 Tengeneza na simamia password za watumishi
Sajili mtumishi na password yake
Usalama wa akaunti
USIMAMIZI WA TAARIFA
Tafuta kwa jina pekee. Jina moja tu litaonekana chini ya kisanduku cha utafutaji.
KITUO CHA NYARAKA
TAFUTA NA SOMA MAFAILI
📂
Maktaba ya nyarakaPicha · PDF · Word · Excel · Nyaraka za shule na watumishi
Andika jina la faili ili kutafuta, au bofya “Fungua mafaili yote”.
MAFAILI BINAFSI YA MKUU WA SHULE
PAKIA FAILI
Mafaili: 0
Ukurasa 1
TAZAMA FAILI
DAFTARI LA KUMBUKUMBU LA MKUU WA SHULE
Andika jina kisha bonyeza Hifadhi tena ili kuhifadhi kumbukumbu.
Note mpya haijahifadhiwaHaijahifadhiwa
Ukurasa 1
NOTES ZANGU
Soma note
EXCEL / DAFTARI LA TAARIFA
Andika taarifa kwenye seli kama daftari la Excel. Data huhifadhiwa moja kwa moja kwenye kifaa hiki. Unaweza kuongeza safu au mistari na kupakua CSV inayofunguka Excel.
Hifadhi kwenye kifaa hiki.
Watumishi waliosajiliwa0
Jumla ya vipindi kwa wiki0
Majukumu/nyadhifa zimejazwa0
Mtumishi aliyechaguliwa
MAFAILI YA MTUMISHI HUYU
PAKIA FAILI KWA MTUMISHI HUYU
Badilisha security code
HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE
MANGAYA SEKONDARIRIPOTI YA TAARIFA ZA MTUMISHI
e-MANGAYA
Kuhusu e-MANGAYA
e-MANGAYA STAFF INFORMATION SYSTEM ni mfumo wa kidijitali wa kusimamia taarifa, kumbukumbu, ripoti na nyaraka za watumishi wa Mangaya Secondary School kwa udhibiti wa ruhusa na uhifadhi wa taarifa.
e-MANGAYA STAFF INFORMATION SYSTEM Mangaya Secondary School · 2026
Mwongozo huu unaeleza matumizi ya mfumo kwa Kiswahili kwa hatua rahisi. Mifano ya majina na taarifa ndani ya maelezo ni ya kufundishia tu.
Picha halisi ya dashibodi ya mfumo — vitufe vya kuanzia.
1. Utangulizi na lengo la mfumo
e-MANGAYA STAFF INFORMATION SYSTEM ni mfumo wa kidijitali wa kusaidia kuingiza, kutazama, kuhakiki na kusimamia taarifa, kumbukumbu, ripoti na nyaraka za watumishi wa Mangaya Secondary School. Mfumo unalenga kupunguza makaratasi, kurahisisha upatikanaji wa taarifa, kuimarisha uwajibikaji na kusaidia taarifa zihifadhiwe kwa mpangilio. Ruhusa zinazopatikana hutegemea aina ya akaunti na nafasi ya mtumiaji.
Matarajio ya msanidi: watumiaji wajaze taarifa sahihi, walinde siri za akaunti, wahakiki kabla ya kutuma au kufuta, na watumie mfumo kwa uwajibikaji. Mfumo hauondoi wajibu wa kuthibitisha usahihi wa taarifa.
Kanuni za usalama
Usimpe mtu mwingine nenosiri au msimbo wa uthibitisho.
Hakikisha jina la mtumishi au faili sahihi kabla ya kufungua, kurejesha au kufuta.
Hakiki taarifa kabla ya kubonyeza “Tuma” au “Hifadhi”.
Usifunge dirisha wakati mfumo bado unaonyesha kuwa unahifadhi au unatuma taarifa.